Hesabu 11:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Musa akatoka, akawaambia watu maneno ya BWANA; akawakutanisha watu sabini miongoni mwa wazee wa watu, akawaweka kuizunguka Hema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kwa hiyo Musa akatoka na kuwaambia watu lile ambalo Mwenyezi Mungu alikuwa amesema. Akawakusanya wazee wao sabini, akawasimamisha kuzunguka Hema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kwa hiyo Musa akatoka na kuwaambia watu lile ambalo bwana alikuwa amesema. Akawakusanya wazee wao sabini, akawasimamisha kuzunguka Hema. Tazama sura |