Hesabu 11:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Hamtakula siku moja, wala siku mbili, wala siku tano, wala siku kumi, wala siku ishirini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mtakula nyama si kwa muda wa siku moja tu, au mbili, au tano, au kumi au ishirini, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mtakula nyama si kwa muda wa siku moja tu, au mbili, au tano, au kumi au ishirini, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mtakula nyama si kwa muda wa siku moja tu, au mbili, au tano, au kumi au ishirini, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hamtaila kwa siku moja tu, au siku mbili, au tano, kumi au siku ishirini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hamtaila kwa siku moja tu, au siku mbili, au tano, kumi au siku ishirini, Tazama sura |