Hesabu 11:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Mimi siwezi kuwawaongoza watu hawa wote peke yangu, kwa kuwa ni mzigo mzito sana wa kunishinda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; hilo ni jukumu kubwa mno kwangu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; hilo ni jukumu kubwa mno kwangu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Siwezi kuwatunza watu wote hawa peke yangu; hilo ni jukumu kubwa mno kwangu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu. Tazama sura |