Hesabu 11:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Musa akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. Mwenyezi Mungu akakasirika mno, naye Musa akafadhaika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Musa akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. bwana akakasirika mno, naye Musa akafadhaika. Tazama sura |