Hesabu 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha sana, makambi yaliyoko upande wa mashariki yatasafiri. Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha ya pili, makambi yaliyoko upande wa kusini yatasafiri; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ishara hiyo ikitolewa kwa kupiga tarumbeta, wakazi wa kambi za mashariki wataanza safari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ishara hiyo ikitolewa kwa kupiga tarumbeta, wakazi wa kambi za mashariki wataanza safari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ishara hiyo ikitolewa kwa kupiga tarumbeta, wakazi wa kambi za mashariki wataanza safari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wakati mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka. Tazama sura |