Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 10:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 Na wingu la BWANA lilikuwa juu yao mchana hapo waliposafiri kwenda mbele kutoka kambini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Kila waliposafiri kutoka kambi moja hadi nyingine, wingu la Mwenyezi-Mungu lilikuwa juu yao mchana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Kila waliposafiri kutoka kambi moja hadi nyingine, wingu la Mwenyezi-Mungu lilikuwa juu yao mchana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Kila waliposafiri kutoka kambi moja hadi nyingine, wingu la Mwenyezi-Mungu lilikuwa juu yao mchana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Wingu la Mwenyezi Mungu lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Wingu la bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.

Tazama sura Nakili




Hesabu 10:34
7 Marejeleo ya Msalaba  

Zaidi ya hayo ukawaongoza kwa nguzo ya wingu mchana; na kwa nguzo ya moto usiku; ili kuwapa mwanga katika njia iliyowapasa kuiendea.


hata hivyo wewe kwa wingi wa rehema zako hukuwaacha jangwani; nguzo ya wingu haikuondoka kwao wakati wa mchana, ili kuwaongoza njiani; wala nguzo ya moto haikuondoka wakati wa usiku, ili kuwapa mwanga na kuwaonesha njia watakayoiendea.


Alitandaza wingu liwe kifuniko, Na moto ili uwaangazie usiku.


Kwa maana lile wingu la BWANA lilikuwa juu ya maskani wakati wa mchana, na mlikuwa na moto ndani yake wakati wa usiku, mbele ya macho ya nyumba ya Israeli katika safari zao zote.


Ilikuwa, hapo sanduku liliposafiri kwenda mbele, ndipo Musa akasema, Inuka, Ee BWANA, adui zako na watawanyike; na wakimbie mbele zako hao wakuchukiao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo