Hesabu 10:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Basi wakasafiri kutoka penye mlima wa BWANA safari ya siku tatu; na sanduku la Agano la BWANA likatangulia mbele yao mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Mwenyezi Mungu, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Hivyo waliondoka kutoka mlima wa bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. Tazama sura |