Hesabu 10:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Isitoshe, ukienda pamoja nasi, naam, mema yote ambayo BWANA atatutendea, nawe tutakutendea vivyo hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Tena ukiandamana nasi chochote chema atakachotutendea Mwenyezi-Mungu, ndicho utakachotendewa nawe pia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na bwana.” Tazama sura |