Hesabu 10:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Suri-shadai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Shelumieli mwana wa Suri-shadai, aliliongoza kabila la Simeoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Shelumieli mwana wa Suri-shadai, aliliongoza kabila la Simeoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Shelumieli mwana wa Suri-shadai, aliliongoza kabila la Simeoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni, Tazama sura |