Hesabu 1:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 wale waliohesabiwa katika kabila la Isakari, walikuwa watu elfu hamsini na nne na mia nne (54,400). Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 walikuwa watu 54,400. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 walikuwa watu 54,400. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 walikuwa watu 54,400. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu elfu hamsini na nne na mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400. Tazama sura |