Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Yaani, katikati ya mashauri yake mtu mwovu atachunguzwa, na sauti ya maneno yake itamfikia BWANA, ili maasi yake yahukumiwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mawazo ya waovu yatachunguzwa; Bwana atapata ripoti ya maneno yao mabaya na kuwaadhibu kwa sababu ya uovu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mawazo ya waovu yatachunguzwa; Bwana atapata ripoti ya maneno yao mabaya na kuwaadhibu kwa sababu ya uovu wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Yaani, katikati ya mashauri yake mtu mwovu atachunguzwa, na sauti ya maneno yake itamfikia BWANA, ili maasi yake yahukumiwe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Mawazo ya waovu yatachunguzwa; Bwana atapata ripoti ya maneno yao mabaya na kuwaadhibu kwa sababu ya uovu wao. Tazama sura |