Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kwa hiyo kila anenaye yasiyo haki hafichiki kabisa, wala Haki haimpiti ikifanya hukumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kila mtu asemaye mabaya dhidi yake hawezi kufichika, na hukumu inapotolewa hataweza kuiepa adhabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kila mtu asemaye mabaya dhidi yake hawezi kufichika, na hukumu inapotolewa hataweza kuiepa adhabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Kwa hiyo kila anenaye yasiyo haki hafichiki kabisa, wala Haki haimpiti ikifanya hukumu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Kila mtu asemaye mabaya dhidi yake hawezi kufichika, na hukumu inapotolewa hataweza kuiepa adhabu. Tazama sura |