Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Roho ya BWANA imeujaza ulimwengu, nayo inayoviungamanisha viumbe vyote hujua maana ya kila sauti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Roho ya Bwana inaujaza ulimwengu; hiyo inayotegemeza kila kitu pamoja. hujua kila kitu asemacho binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Roho ya Bwana inaujaza ulimwengu; hiyo inayotegemeza kila kitu pamoja. hujua kila kitu asemacho binadamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Roho ya BWANA imeujaza ulimwengu, nayo inayoviungamanisha viumbe vyote hujua maana ya kila sauti. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Roho ya Bwana inaujaza ulimwengu; hiyo inayotegemeza kila kitu pamoja. hujua kila kitu asemacho binadamu. Tazama sura |