Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Maana hekima ni roho ambayo huwapenda wanadamu, wala haimwachilii mkufuru hatia ya midomo yake; kwa sababu Mungu huvishuhudia viuno vyake, na kuusimamia hasa moyo wake, na kuusikiliza ulimi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hekima ana moyo wa huruma; lakini hatamsamehe yeyote anayemkufuru Mungu. Mungu ajua yote: Hisia zetu na fikira zetu; husikia kila neno tusemalo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hekima ana moyo wa huruma; lakini hatamsamehe yeyote anayemkufuru Mungu. Mungu ajua yote: hisia zetu na fikira zetu; husikia kila neno tusemalo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Maana hekima ni roho ambayo huwapenda wanadamu, wala haimwachilii mkufuru hatia ya midomo yake; kwa sababu Mungu huvishuhudia viuno vyake, na kuusimamia hasa moyo wake, na kuusikiliza ulimi wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Hekima ana moyo wa huruma; lakini hatamsamehe yeyote anayemkufuru Mungu. Mungu ajua yote: Hisia zetu na fikira zetu; husikia kila neno tusemalo. Tazama sura |