Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Kwa kuwa roho takatifu yenye maadili huikimbia hila, hubumburuka kujiepusha na fikira zisizo na akili, hufadhaika kuingiwa na udhalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mtu aliye mtakatifu amejifunza kuepukana na udanganyifu. Mtu huyo huepa kushiriki fikira za kipumbavu; huwa na wasiwasi endapo haki zinavunjwa ovyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mtu aliye mtakatifu amejifunza kuepukana na udanganyifu. Mtu huyo huepa kushiriki fikira za kipumbavu; huwa na wasiwasi endapo haki zinavunjwa ovyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kwa kuwa roho takatifu yenye maadili huikimbia hila, hubumburuka kujiepusha na fikira zisizo na akili, hufadhaika kuingiwa na udhalimu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Mtu aliye mtakatifu amejifunza kuepukana na udanganyifu. Mtu huyo huepa kushiriki fikira za kipumbavu; huwa na wasiwasi endapo haki zinavunjwa ovyo. Tazama sura |