Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Hekima haiingii katika roho ya mtu awazaye maovu, wala haikai katika mwili wa mtu aliyefungwa rehani na dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Hekima haiingii kwa mtu mdanganyifu, wala haikai kwa mtu aliye mtumwa wa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Hekima haiingii kwa mtu mdanganyifu, wala haikai kwa mtu aliye mtumwa wa dhambi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Hekima haiingii katika roho ya mtu awazaye maovu, wala haikai katika mwili wa mtu aliyefungwa rehani na dhambi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Hekima haiingii kwa mtu mdanganyifu, wala haikai kwa mtu aliye mtumwa wa dhambi. Tazama sura |