Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Hekima ya 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Mradi fikira zilizopotoka hutenga wanadamu na Mungu, na enzi yake ikijaribiwa, huwafadhaisha wajinga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Fikira potovu huwatenganisha watu mbali na Mungu; watu wakiijaribu nguvu yake, yeye hudhihirisha upumbavu wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Fikira potovu huwatenganisha watu mbali na Mungu; watu wakiijaribu nguvu yake, yeye hudhihirisha upumbavu wao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Mradi fikira zilizopotoka hutenga wanadamu na Mungu, na enzi yake ikijaribiwa, huwafadhaisha wajinga.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

3 Fikira potovu huwatenganisha watu mbali na Mungu; watu wakiijaribu nguvu yake, yeye hudhihirisha upumbavu wao.

Tazama sura Nakili

Hekima ya 1:3
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo