Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Kwa sababu huonekana nao wasiomjaribu, na kufunuliwa kwao wasiokosa kumwamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Maana yeye huwajalia wanaojiaminisha kwake wampate; hujionesha kwa wale wanaomtegemea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Maana yeye huwajalia wanaojiaminisha kwake wampate; hujionesha kwa wale wanaomtegemea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kwa sababu huonekana nao wasiomjaribu, na kufunuliwa kwao wasiokosa kumwamini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 Maana yeye huwajalia wanaojiaminisha kwake wampate; hujionesha kwa wale wanaomtegemea. Tazama sura |