Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Lakini wanadamu wasio haki, kwa mikono yao na kwa maneno yao, walijiitia mauti; wakaifanya rafiki, wakadhoofu; wakaagana nayo kwa sababu wamestahili kutiwa katika fungu lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini wasiomcha Mungu hukaribisha kifo kwa matendo na maneno yao, hufanya urafiki na kifo na kufanya mkataba pamoja nacho; sasa wanastahili kuwa mateka wake! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini wasiomcha Mungu hukaribisha kifo kwa matendo na maneno yao, hufanya urafiki na kifo na kufanya mkataba pamoja nacho; sasa wanastahili kuwa mateka wake! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Lakini wanadamu wasio haki, kwa mikono yao na kwa maneno yao, walijiitia mauti; wakaifanya rafiki, wakadhoofu; wakaagana nayo kwa sababu wamestahili kutiwa katika fungu lake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Lakini wasiomcha Mungu hukaribisha kifo kwa matendo na maneno yao, hufanya urafiki na kifo na kufanya mkataba pamoja nacho; sasa wanastahili kuwa mateka wake! Tazama sura |