Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Yaani, Mungu hakuifanyiza mauti, wala haimpendezi walio hai wakipotea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kifo hakikuanzishwa na Mungu; Mungu hafurahii kufa kwa mtu yeyote yule. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kifo hakikuanzishwa na Mungu; Mungu hafurahii kufa kwa mtu yeyote yule. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Yaani, Mungu hakuifanyiza mauti, wala haimpendezi walio hai wakipotea. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Kifo hakikuanzishwa na Mungu; Mungu hafurahii kufa kwa mtu yeyote yule. Tazama sura |