Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Msijitakie mauti katika ukosefu wa roho zenu; Wala msijivutie uharibifu kwa kazi za mikono yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kwa hiyo usijiletee kifo kwa dhambi zako, wala kukaribisha maangamizi kwa matendo yako maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kwa hiyo usijiletee kifo kwa dhambi zako, wala kukaribisha maangamizi kwa matendo yako maovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Msijitakie mauti katika ukosefu wa roho zenu; Wala msijivutie uharibifu kwa kazi za mikono yenu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Kwa hiyo usijiletee kifo kwa dhambi zako, wala kukaribisha maangamizi kwa matendo yako maovu. Tazama sura |