Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Jihadharini, basi, na manung'uniko yasiyofaa, na kujizuia ndimi zenu na masingizio; madhali neno linenwalo kwa siri haliendelei bure, na kinywa kisemacho uongo huiangamiza roho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kwa hiyo jihadharini na manunguniko ya bure, epukeni kusema uchongezi. Mungu husikia hata nunguniko la siri kabisa. Asemaye uongo huiangamiza roho yake mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kwa hiyo jihadharini na manung'uniko ya bure, epukeni kusema uchongezi. Mungu husikia hata nung'uniko la siri kabisa. Asemaye uongo huiangamiza roho yake mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Jihadharini, basi, na manung'uniko yasiyofaa, na kujizuia ndimi zenu na masingizio; madhali neno linenwalo kwa siri haliendelei bure, na kinywa kisemacho uongo huiangamiza roho. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Kwa hiyo jihadharini na manunguniko ya bure, epukeni kusema uchongezi. Mungu husikia hata nunguniko la siri kabisa. Asemaye uongo huiangamiza roho yake mwenyewe. Tazama sura |