Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Ndiyo maana kuna sikio la wivu ambalo husikiliza yote, wala kelele za manung'uniko hazisitiriki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Bwana ametega sikio lake; anasikia kila kitu. Hakuna mnongono wowote ule ambao utasitirika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Bwana ametega sikio lake; anasikia kila kitu. Hakuna mnong'ono wowote ule ambao utasitirika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ndiyo maana kuna sikio la wivu ambalo husikiliza yote, wala kelele za manung'uniko hazisitiriki. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Bwana ametega sikio lake; anasikia kila kitu. Hakuna mnongono wowote ule ambao utasitirika. Tazama sura |