Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Hekima ya 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Pendeni haki, enyi waamuzi wa dunia; Tafakarini habari za BWANA kwa moyo mwema, Na kumtafuta katika unyofu wa moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Pendeni haki, enyi watawala wa dunia! Jiaminisheni kikamilifu kwa Bwana. na kumtafuta kwa moyo mnyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Pendeni haki, enyi watawala wa dunia! Jiaminisheni kikamilifu kwa Bwana. na kumtafuta kwa moyo mnyofu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Pendeni haki, enyi waamuzi wa dunia; Tafakarini habari za BWANA kwa moyo mwema, Na kumtafuta katika unyofu wa moyo. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Pendeni haki, enyi watawala wa dunia! Jiaminisheni kikamilifu kwa Bwana. na kumtafuta kwa moyo mnyofu. Tazama sura |