Habakuki 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Hao ni watu wa kutisha sana, wa kuogofya sana; hukumu yao na ukuu wao hutoka katika nafsi zao wenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao hujiamulia wenyewe nini haki na adhama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao hujiamulia wenyewe nini haki na adhama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao hujiamulia wenyewe nini haki na adhama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ni watu wanoogopwa na wanaotisha; wenyewe ndio sheria yao, na huinua heshima yao wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ni watu wanoogopwa na wanaotisha; wenyewe ndio sheria yao, na huinua heshima yao wenyewe. Tazama sura |