Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Habakuki 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Ee Mwenyezi-Mungu, nitakulilia mpaka lini, nawe usinisikilize na kunisaidia? Kwa nini nalia: ‘Dhuluma’ nawe hutuokoi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Ee Mwenyezi-Mungu, nitakulilia mpaka lini, nawe usinisikilize na kunisaidia? Kwa nini nalia: ‘Dhuluma’ nawe hutuokoi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Ee Mwenyezi-Mungu, nitakulilia mpaka lini, nawe usinisikilize na kunisaidia? Kwa nini nalia: ‘Dhuluma’ nawe hutuokoi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Ee Mwenyezi Mungu, hata lini nitakuomba msaada, lakini wewe husikilizi? Au kukulilia, “Udhalimu!” lakini hutaki kuokoa?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Ee bwana, hata lini nitakuomba msaada, lakini wewe husikilizi? Au kukulilia, “Udhalimu!” Lakini hutaki kuokoa?

Tazama sura Nakili




Habakuki 1:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, nalia, Udhalimu, lakini sisikiwi; Naulilia msaada, wala hapana hukumu.


Lakini Wewe U Mtakatifu, Utukuzwaye na sifa za Israeli.


BWANA, hadi lini wasio haki, Hadi lini wasio haki watashangilia?


Kwa nini wewe umekuwa kama mtu aliyeshtuka, kama shujaa asiyeweza kuokoa? Lakini wewe, BWANA, u katikati yetu, nasi tunaitwa kwa jina lako; usituache.


Naam, nikilia na kuomba msaada, Huyapinga maombi yangu.


Ndipo yule malaika wa BWANA akajibu, akasema, Ee BWANA wa majeshi, hadi lini utakataa kuurehemu Yerusalemu, na miji ya Yuda uliyoikasirikia miaka hii sabini?


Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, na Mkweli, utakawia hadi lini kuhukumu na kuilipa damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo