Habakuki 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 na kufanya wanadamu kuwa kama samaki wa baharini, kama vitu vitambaavyo, ambavyo havina mtawala? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe vitambaavyo visivyo na kiongozi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe vitambaavyo visivyo na kiongozi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe vitambaavyo visivyo na kiongozi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe wa bahari wasio na mtawala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe wa bahari wasio na mtawala. Tazama sura |