Filemoni 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Maana, labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda, ili uwe naye tena milele; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Huenda sababu ya Onesimo kutengwa nawe kwa muda ni ili uwe naye daima, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima. Tazama sura |