Ezra 8:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 nami nikawapimia mikononi mwao talanta za fedha mia sita na hamsini na vyombo vya fedha talanta mia moja; na talanta mia moja za dhahabu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: Fedha tani 22, vyombo 100 vya fedha, uzito wake kilo 70, dhahabu kilo 3400, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: Fedha tani 22, vyombo 100 vya fedha, uzito wake kilo 70, dhahabu kilo 3400, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: fedha tani 22, vyombo 100 vya fedha, uzito wake kilo 70, dhahabu kilo 3,400, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Niliwapimia talanta mia sita na hamsini za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, talanta mia moja za dhahabu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Niliwapimia talanta 650 za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, talanta mia moja za dhahabu, Tazama sura |