Ezra 8:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume sabini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume 70 pamoja nao. Tazama sura |