Ezra 8:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Elifeleti, Yeueli na Shemaya, wa ukoo wa Adonikamu, pamoja na wanaume 60, (hawa walirudi baadaye). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Elifeleti, Yeueli na Shemaya, wa ukoo wa Adonikamu, pamoja na wanaume 60, (hawa walirudi baadaye). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Elifeleti, Yeueli na Shemaya, wa ukoo wa Adonikamu, pamoja na wanaume 60, (hawa walirudi baadaye). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 wa wazao wa Adonikamu: hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume sitini; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 wa wazao wa Adonikamu: hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao; Tazama sura |