Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ezra 5:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Hii ndiyo nakala ya waraka ambao; Tatenai, Mkuu wa mkoa wa ng'ambo ya Mto, na Shethar-Bozenai, na wenzake wa Kiajemi, waliokuwako huko ng'ambo ya Mto; walimtumia mfalme Dario.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Basi, Tatenai, mtawala wa mkoa wa magharibi ya Eufrate, Shethar-bozenai na wenzao, wakamwandikia mfalme Dario.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Basi, Tatenai, mtawala wa mkoa wa magharibi ya Eufrate, Shethar-bozenai na wenzao, wakamwandikia mfalme Dario.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Basi, Tatenai, mtawala wa mkoa wa magharibi ya Eufrate, Shethar-bozenai na wenzao, wakamwandikia mfalme Dario.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Hii ni nakala ya barua ile Tatenai, mtawala wa ng’ambo ya mto Frati na Shethar-Bozenai na wenzao maafisa wa ng’ambo ya mto Frati waliyompelekea Mfalme Dario.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Hii ni nakala ya barua ile Tatenai, mtawala wa ng’ambo ya mto Frati na Shethar-Bozenai na wenzao maafisa wa ng’ambo ya mto Frati waliyompelekea Mfalme Dario.

Tazama sura Nakili

Ezra 5:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hii ndiyo nakala ya waraka waliyompelekea mfalme Artashasta; Watumishi wako, watu walio ng'ambo ya Mto; wakadhalika.

Kisha nakala ya barua hiyo ya mfalme Artashasta iliposomwa mbele ya Rehumu, mtawala na Shimshai, mwandishi, na wenzao, wakaenda Yerusalemu upesi, kwa Wayahudi, wakawakomesha kwa nguvu na kwa kuwashurutisha.

Rehumu, mtawala, na Shimshai, mwandishi, na wenzao wengine, makadhi wa Kiajemi na madiwani wa Kiajemi; na Waarkewi, Wababeli, Washushani, yaani, Waelami;

Wakati ule ule Tatenai, Mkuu wa mkoa wa ng'ambo ya Mto, na Shethar-Bozenai, na wenzao, wakawajia, wakawaambia, Ni nani aliyewapa amri kuijenga nyumba hii, na kuumaliza ukuta huu?

Walimtumia ripoti; na maneno haya yakaandikwa ndani yake; Kwa Dario, mfalme Salamu sana.

Basi sasa ninyi, Tatenai, Mkuu wa mkoa wa ng'ambo ya Mto, na Shethar-Bozenai, na hao wenzi wenu wa Kiajemi, mlio ng'ambo ya Mto, jitengeni na mahali pale;

Wakawapa manaibu wa mfalme, na wakuu wa ng'ambo ya Mto, maagizo ya mfalme; nao wakawasaidia watu, na nyumba ya Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo