Ezra 2:65 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC65 tena, zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wa kiume na wa kike, ambao walikuwa elfu saba, na mia tatu na thelathini na saba; nao walikuwa na waimbaji wa kiume na wa kike mia mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema65 mbali na hao, kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7337; na walikuwa na waimbaji wanaume na wanawake, wote 200. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND65 mbali na hao, kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7337; na walikuwa na waimbaji wanaume na wanawake, wote 200. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza65 mbali na hao, kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7,337; na walikuwa na waimbaji wanaume na wanawake, wote 200. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu65 tena zaidi ya hao walikuwa na watumwa wa kiume na wa kike elfu saba, mia tatu na thelathini na saba (7,337); pia walikuwa na waimbaji wanaume na wanawake mia mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu65 tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. Tazama sura |