Ezra 2:64 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC64 Basi hilo kusanyiko lote nzima, jumla yake ilikuwa watu elfu arubaini na mbili na mia tatu na sitini, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema64 Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND64 Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza64 Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu64 Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa elfu arobaini na mbili na mia tatu na sitini (42,360); Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu64 Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; Tazama sura |