Ezra 2:58 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC58 Wanethini wote, pamoja na wazawa wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema58 Nao watumishi wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa watu 392. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND58 Nao watumishi wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa watu 392. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza58 Nao watumishi wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa watu 392. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu58 Watumishi wa Hekalu, na wazao wa watumishi wa Sulemani, mia tatu tisini na wawili (392). Tazama sura |