Ezra 2:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Walawi; wazawa wa Yeshua, wazawa wa Kadmieli wa wawazawa wa Hodavia, sabini na wanne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Walawi wa ukoo wa Yeshua na wa Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Walawi wa ukoo wa Yeshua na wa Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Walawi wa ukoo wa Yeshua na wa Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Walawi: wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia), sabini na wanne (74). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Walawi: Tazama sura |