Ezra 2:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Makuhani; wazawa wa Yedaya, wa ukoo wa Yeshua, mia tisa sabini na watatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 673; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 673; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 673; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua), mia tisa sabini na watatu (973); Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36-39 Makuhani: Tazama sura |