Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Ndipo akaniambia, Mwanadamu, toboa sasa katika ukuta huu; nami nilipotoboa, tazama, pana mlango.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Naye akaniambia, “Wewe mtu, toboa ukuta huu.” Nami, nikatoboa, nikaona kulikuwa na mlango.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Naye akaniambia, “Wewe mtu, toboa ukuta huu.” Nami, nikatoboa, nikaona kulikuwa na mlango.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Naye akaniambia, “Wewe mtu, toboa ukuta huu.” Nami, nikatoboa, nikaona kulikuwa na mlango.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Akaniambia, “Mwanadamu, sasa toboa ukuta huu.” Ndipo nikatoboa ule ukuta, nikaona hapo pana mlango.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Akaniambia, “Mwanadamu, sasa toboa kwenye ukuta huu.” Ndipo nikatoboa ule ukuta, nikaona hapo pana mlango.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 8:8
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hapana hofu ya giza kuu, mahali wawezapo kujificha watendao udhalimu.


Ole wao wanaojitahidi kumficha BWANA mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?


Tena katika pindo za nguo zako imeonekana damu ya roho zao maskini wasio na hatia; sikuiona penye mahali palipobomoka, lakini niliiona juu ya hawa wote.


Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.


Akanileta hadi katika mlango wa ua; nami nilipoangalia, tazama, pana tundu katika ukuta.


Akaniambia, Ingia uyaone machukizo mabaya wanayoyafanya hapa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo