Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 8:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Akanileta hadi katika mlango wa ua; nami nilipoangalia, tazama, pana tundu katika ukuta.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kisha akanipeleka mpaka lango la ua. Nilipoangalia nikaona tundu ukutani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kisha akanipeleka mpaka lango la ua. Nilipoangalia nikaona tundu ukutani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kisha akanipeleka mpaka lango la ua. Nilipoangalia nikaona tundu ukutani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kisha akanileta hadi ingilio la ukumbi. Nikatazama, nami nikaona tundu ukutani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kisha akanileta mpaka ingilio la ukumbi. Nikatazama, nami nikaona tundu ukutani.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 8:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na behewa kubwa pande zote ilikuwa na safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi; mfano wa behewa ya ndani ya nyumba ya BWANA, na ukumbi wa nyumba.


Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya BWANA.


Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikia mwimo, lango lile likizungukwa pande zote.


Akaniambia, Mwanadamu, je! Unayaona wanayoyafanya, yaani, haya machukizo makubwa wanayoyafanya nyumba ya Israeli hapa, ili niende zangu mbali na patakatifu pangu? Lakini utaona tena machukizo makubwa mengine.


Ndipo akaniambia, Mwanadamu, toboa sasa katika ukuta huu; nami nilipotoboa, tazama, pana mlango.


Na alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga, au ya kusubu, machukizo kwa BWANA, kazi ya mikono ya fundi, akaisimamisha kwa siri. Na watu wote wajibu, waseme, Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo