Ezekieli 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo, sawasawa na maono yale niliyoyaona katika bonde. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo; nao ulikuwa kama utukufu ule niliouona katika maono kule bondeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo; nao ulikuwa kama utukufu ule niliouona katika maono kule bondeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwapo hapo; nao ulikuwa kama utukufu ule niliouona katika maono kule bondeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Tazama! Palikuwa na utukufu wa Mungu wa Israeli, kama utukufu ule niliouona katika maono kule kwenye nchi tambarare. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hapo mbele yangu palikuwa na utukufu wa Mungu wa Israeli, kama utukufu ule niliouona katika maono kule ua wa ndani. Tazama sura |