Ezekieli 7:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Tena nitaugeuza uso wangu usiwaelekee, nao watapatia unajisi mahali pangu pa siri; na wanyang'anyi wataingia humo na kupatia unajisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Uso wangu nitaugeuzia mbali nao ili walitie najisi hekalu langu. Wanyanganyi wataingia humo ndani na kulitia najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Uso wangu nitaugeuzia mbali nao ili walitie najisi hekalu langu. Wanyanganyi wataingia humo ndani na kulitia najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Uso wangu nitaugeuzia mbali nao ili walitie najisi hekalu langu. Wanyang'anyi wataingia humo ndani na kulitia najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Nitaugeuza uso wangu mbali nao, nao waovu wa dunia watapanajisi mahali pangu pa thamani. Wanyang’anyi watapaingia na kupanajisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Nitageuza uso wangu mbali nao, nao waovu wa dunia watapanajisi mahali pangu pa thamani, wanyang’anyi watapaingia na kupanajisi. Tazama sura |