Ezekieli 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Upanga uko nje, na tauni na njaa zimo ndani; yeye aliye nje mashambani atakufa kwa upanga; na yeye aliye ndani ya mji, njaa na tauni zitamla. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nje kuna kifo kwa upanga na ndani ya mji kuna maradhi mabaya na njaa. Walioko shambani watakufa kwa upanga; walio mjini njaa na maradhi mabaya yatawaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nje kuna kifo kwa upanga na ndani ya mji kuna maradhi mabaya na njaa. Walioko shambani watakufa kwa upanga; walio mjini njaa na maradhi mabaya yatawaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nje kuna kifo kwa upanga na ndani ya mji kuna maradhi mabaya na njaa. Walioko shambani watakufa kwa upanga; walio mjini njaa na maradhi mabaya yatawaangamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nje ni upanga, ndani ni tauni na njaa. Walio shambani watakufa kwa upanga, nao waliomo mjini njaa na tauni vitawala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Nje ni upanga, ndani ni tauni na njaa, wale walioko shambani watakufa kwa upanga, nao wale waliomo mjini njaa na tauni vitawala. Tazama sura |