Ezekieli 5:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nawe utatwaa tena baadhi ya hizo, na kuzitupa katikati ya moto, na kuziteketeza katika moto huo; kutoka nywele hizo moto utakuja na kuingia katika nyumba yote ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini chukua pia nywele kidogo uzitupe motoni na kuziteketeza. Moto utatokea humo na kuwaunguza watu wote wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini chukua pia nywele kidogo uzitupe motoni na kuziteketeza. Moto utatokea humo na kuwaunguza watu wote wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini chukua pia nywele kidogo uzitupe motoni na kuziteketeza. Moto utatokea humo na kuwaunguza watu wote wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Tena chukua nywele nyingine chache uzitupe motoni uziteketeze. Moto utaenea kutoka hapo na kufika katika nyumba yote ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Tena chukua nywele nyingine chache uzitupe motoni uziteketeze. Moto utaenea kutoka humo na kufika katika nyumba yote ya Israeli. Tazama sura |