Ezekieli 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nawe twaa nywele chache katika hizo, na kuzifunga katika upindo wa mavazi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako. Tazama sura |