Ezekieli 48:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Matoleo hayo, mtakayomtolea BWANA, urefu wake ni mianzi elfu ishirini na tano, na upana wake elfu kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Eneo utakalotenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu litakuwa lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita 10. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Eneo utakalotenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu litakuwa lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita 10. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Eneo utakalotenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu litakuwa lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita 10. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Hiyo sehemu maalum mtakayotoa kwa Mwenyezi Mungu itakuwa na urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano, na upana wa dhiraa elfu kumi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Hiyo sehemu maalum mtakayotoa kwa bwana itakuwa na urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000 Tazama sura |
Maeneo hayo matakatifu yatakuwa kwa ajili ya makuhani; upande wa kaskazini urefu wake mianzi elfu ishirini na tano, na upande wa magharibi upana wake mianzi elfu kumi, na upande wa mashariki upana wake mianzi elfu kumi, na upande wa kusini urefu wake mianzi elfu ishirini na tano; na mahali patakatifu pa BWANA patakuwa katikati yake.