Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 48:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Na mpakani mwa Reubeni, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Yuda, fungu moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Eneo linalopakana na eneo la Reubeni, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Eneo linalopakana na eneo la Reubeni, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Eneo linalopakana na eneo la Reubeni, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yuda atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Reubeni kuanzia mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yuda atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Reubeni kuanzia mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 48:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Akapata mimba tena, akazaa mwana. Akasema, Mara hii nitamsifu BWANA; kwa hiyo akamwita jina lake Yuda; akaacha kuzaa.


Huo urithi wa hao wana wa Simeoni ulitoka katika fungu la wana wa Yuda; kwa maana hilo fungu la wana wa Yuda lilikuwa ni kubwa mno kwao; kwa hiyo wana wa Simeoni walikuwa na urithi katikati ya urithi wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo