Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 48:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Na mpakani mwa Efraimu, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Reubeni, fungu moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Eneo linalopakana na eneo la Efraimu, kutoka mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Reubeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Eneo linalopakana na eneo la Efraimu, kutoka mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Reubeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Eneo linalopakana na eneo la Efraimu, kutoka mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Reubeni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Reubeni atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Efraimu kuanzia mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Reubeni atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Efraimu kuanzia mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 48:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa BWANA ameona mateso yangu; sasa mume wangu atanipenda.


Na mpakani mwa Reubeni, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Yuda, fungu moja.


Na mpaka wa wana wa Reubeni ulikuwa ni mto wa Yordani, na kingo zake. Huo ndio urithi wa wana wa Reubeni sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo