Ezekieli 48:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Na mpakani mwa Manase, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Efraimu, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Eneo linalopakana na eneo la Manase, kutoka upande wa mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Efraimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Eneo linalopakana na eneo la Manase, kutoka upande wa mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Efraimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Eneo linalopakana na eneo la Manase, kutoka upande wa mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Efraimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Efraimu atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Manase kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Efraimu atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Manase kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama sura |