Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 48:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Na mpakani mwa Naftali, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Manase, fungu moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Baada ya eneo la kabila la Naftali, litafuata eneo la kabila la Manase, kutoka mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Baada ya eneo la kabila la Naftali, litafuata eneo la kabila la Manase, kutoka mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Baada ya eneo la kabila la Naftali, litafuata eneo la kabila la Manase, kutoka mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Manase atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Naftali kuanzia mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Manase atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Naftali kuanzia mashariki hadi magharibi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 48:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yusufu akamwita jina lake yule aliyezaliwa kwanza, Manase, maana alisema, Mungu amenisahaulisha taabu zangu zote, na nyumba yote ya baba yangu.


Basi sasa wanao wawili uliozaliwa katika nchi ya Misri kabla sijaja kwako Misri ni watoto wangu, yaani, Efraimu na Manase watakuwa wangu, kama Reubeni na Simeoni.


Bwana MUNGU asema hivi; Huu ndio mpaka ambao mtaigawanya nchi iwe urithi sawasawa na makabila kumi na mawili ya Israeli; kwa Yusufu, mafungu mawili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo