Ezekieli 48:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Na upande wa magharibi, mianzi elfu nne na mia tano; pamoja na malango yake matatu; lango la Gadi, lango la Asheri; na lango la Naftali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: Lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: Lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Upande wa magharibi, wenye urefu wa dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Upande wa magharibi, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali. Tazama sura |